Maandalizi ya Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China ya 2026 yakamilika

Maandalizi ya Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma za China CIFTIS ya 2026 yatafanyika kuanzia tarehe 9 hadi 13 mwezi Septemba katika Hifadhi ya Shougang mjini Beijing yamekamilika.

Kwa mara ya kwanza, maonyesho ya mwaka huu yataangazia eneo la maonyesho la “Huduma za China” katika eneo kuu la maonyesho, ikionyesha mafanikio bunifu na mifano mizuri katika sekta ya biashara ya huduma kutoka maeneo mbalimbali.

Pia kwa mara ya kwanza, maeneo ya “Going Global Services” yatajumuishwa katika maonyesho kadhaa ya mada ili kutoa usaidizi wa kitaalamu kwa makampuni ya Kichina kuingia katika masoko ya kimataifa. Zaidi ya makampuni na taasisi 90 zitatoa teknolojia bunifu, bidhaa na huduma zao katika nyanja mbalimbali ambazo nyingi zitakuwa zinaonyesha kwa mara ya kwanza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

LEOFM

Maisha TV
Live
Tap to listen live