Wiki ya Madini ya Afrika yahimiza juhudi za kufungua thamani kamili ya rasilimali za bara

Wiki ya Madini ya Afrika (AMW) 2026 ilianza Jumatano na kuendelea hadi kesho Ijumaa mjini Cape Town, Afrika Kusini, ikiwa na wito wa kufungua thamani kamili ya rasilimali za madini za Afrika kupitia ushirikiano mkubwa wa kikanda, uwekezaji na maendeleo ya viwanda. Kwenye sherehe ya ufunguzi iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Cape…

Read More

WHO na Afrika CDC zahimiza hatua zilizoratibiwa dhidi ya taarifa potofu zinazodhoofisha mwitikio wa Ebola

Shirika la Afya Duniani (WHO) na Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Afrika (Africa CDC) Jumatano wametoa wito wa kuchukua hatua zilizoratibiwa ili kukabiliana na taarifa potofu na kuimarisha juhudi za kukabiliana na virusi vya Ebola kote Afrika. Wakizungumza katika warsha ya ushirikishwaji wa vyombo vya habari jijini Nairobi, nchini Kenya, iliyo chini ya…

Read More

Mashirika ya Ndege ya Ethiopia na China Southern yasaini makubaliano ya kuuziana safari za ndege ili kuongeza muunganisho wa China na Afrika

Mashirika ya Ndege ya Ethiopia na China Southern yamesaini makubaliano ya kuuuziana ama kuchapisha safari za ndege (code share) ili kuimarisha ushirikiano na kupanua muunganisho kote Afrika, China na kwingineko. Shirika la Ndege la Ethiopia, ambalo ni kubwa zaidi barani Afrika na moja ya chapa za ndege zinazokua kwa kasi zaidi duniani, limesema katika taarifa…

Read More

Kikosi cha kujitoa mhanga cha wanawake wa Iran chapata mafunzo ya matumizi ya silaha

Wanachama wa kikosi cha wanawake wa Iran cha “kujitoa mhanga” wanapata mafunzo ya matumizi ya silaha katika kituo cha mazoezi kwenye uwanja ulioko katikati ya mji wa Tehran. Mvutano kati ya Iran na Marekani umeongezeka kufuatia vitisho vipya kutoka kwa Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye alionya kuhusu kuongezeka zaidi kwa hali hiyo iwapo Tehran…

Read More

Maonyesho ya Canton yanakaribia kufunguliwa

Wafanyakazi wanafanya maandalizi katika banda wakati Maonyesho ya Biashara ya Uagizaji na Uuzaji wa Bidhaa za China (Maonyesho ya Canton) yanapokaribia kufunguliwa. Maonyesho hayo yatafanyika mjini Guangzhou kuanzia Oktoba 15 hadi Novemba 4 kwa vipindi vitatu. Maonyesho ya kipindi cha kwanza yatazingatia“Uzalishaji wa Hali ya Juu” na kuonyesha kwa pamoja mafanikio ya hali ya juu…

Read More

Afrika Kusini kutoa hekta milioni 2.5 za ardhi ya serikali kwa wakulima weusi

Afrika Kusini inatoa takriban hekta milioni 2.5 za ardhi inayomilikiwa na serikali kwa wakulima weusi, ikiwa na hati miliki, kama sehemu ya juhudi za kushughulikia ukosefu wa usawa wa rangi katika kilimo na kupanua ushiriki wao katika kilimo cha kibiashara. Hayo yamesemwa Jumatatu na Rais Cyril Ramaphosa katika jarida lake la kila wiki, ambapo amebainisha…

Read More

LEOFM

Maisha TV
Live
Tap to listen live