UNHCR yasema kupungua kwa ufadhili kunaweza kuwaacha watu milioni 8.3 bila usaidizi
Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limeonya kwamba mifumo ya usaidizi na ulinzi katika kambi za wakimbizi duniani iko katika hatari ya kuporomoka kutokana na kuendelea kupunguzwa kwa ufadhili. Hatua hiyo imesababisha karibu wakimbizi milioni 8.3, watu waliokimbia makazi yao, na watu wasio na uraia kukosa usaidizi wa kutosha mwaka huu. Ripoti…