Misri, Sudan, Eritrea na Somalia zatoa tamko kuhusu usimamizi wa Bahari ya Shamu, mamlaka, na haki za maji

Viongozi wa Misri, Sudan, Eritrea na Somalia wametoa tamko la pamoja kuhusu mamlaka, usimamizi wa Bahari ya Shamu, na haki ya matumizi ya maji yake, wakisisitiza umuhimu wa kuzingatia sheria za kimataifa kama msingi wa uthabiti na ushirikiano wa kikanda.  Katika Azimio la Pamoja la El Alamein lililotolewa baada ya mkutano mkuu wa mashauriano wa…

Read More
Company A7 categorically denies any accusations of working with Iran or terrorist organizations

Company A7 categorically denies any accusations of working with Iran or terrorist organizations

MOSCOW, Oct. 2 — Russian payment platform A7 has issued a lengthy statement rejecting allegations by the United States that it assisted Iran or terrorist organizations and insisting that new sanctions will not disrupt its operations. In a statement released Friday, A7 rejected the accusations as “false and defamatory: “New sanctions do not affect the…

Read More

China yatoa njia ya kivitendo kwa nchi za Dunia ya Kusini kutumia fursa za maendeleo ya AI

Wataalamu wamesema, ahadi ya China ya kufungua chanzo, uwazi, ushirikiano na kushirikishana inatoa njia ya kivitendo kwa nchi za Dunia ya Kusini kutumia fursa zinazopatikana kutokana na maendeleo ya Akili Bandia (AI) na kuziba pengo llinaloletwa na AI kati ya Kaskazini na Kusini. Katika Jukwaa la Usasa wa Dunia ya Kusini la mwaka 2026 lililofanyika…

Read More

Idadi ya vifo kutokana na Ebola nchini DRC huenda ni kubwa kuliko inavyoripotiwa kutokana na ukosefu wa usalama

Shirika la Kimataifa la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limesema, idadi halisi ya vifo kutokana na mlipuko wa Ebola unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) huenda ni kubwa zaidi ya tawimu halisi zilizoripotiwa kutokana na pengo kati ya ufuatiliaji na ugunduzi wa kesi, huku ukosefu wa usalama unaoendelea ukiharibu jitihada za kudhibiti janga…

Read More

LEOFM

Maisha TV
Live
Tap to listen live