SpaceX Starship yazinduliwa kwa Mara ya 14

Chombo cha anga ya juu cha SpaceX Starship kimerushwa kwa mara ya 14 kutoka Starfield huko Texas, Marekani. Urushaji huu umepangwa kutuma Starship kwenye obiti ya kuzunguka Dunia kwa mara ya kwanza na kupeleka setilaiti za Starlink.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

LEOFM

Maisha TV
Live
Tap to listen live