Bangladesh: Sekta ya jadi ya ufinyanzi inakabiliwa na changamoto

Huko Joiburhad, Bangladesh, mafundi wa ufinyanzi wanatengeneza vyombo vya kauri vya jadi. Kadri matumizi ya bidhaa za plastiki yanavyozidi kuongezeka, sekta ya jadi ya ufinyanzi inakabiliwa na changamoto kubwa zaidi na hatari ya kutoweka.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

LEOFM

Maisha TV
Live
Tap to listen live