Maonyesho ya vinyago ya China yalifanyika huko Shanghai katika kituo kikuu cha maonyesho cha kimataifa cha Shanghai. Vibanda kutoka Universal Pictures, Warner Bros., Joytoy, na SCLA vilivutia wageni wengi, vikiwaonyesha vinyago na mifano ya IP maarufu kama vile Spider-Man, Batman, na Ultraman.
