Rais wa China ahudhuria Mkutano wa Kitaifa wa Tuzo za Sayansi na
Rais Xi Jinping wa China amehudhuria Mkutano wa Kitaifa ya Utoaji wa Tuzo za Sayansi na Teknolojia, Mkutano wa 22 wa Wasomi (Academician) wa Chuo cha Sayansi cha China, na Mkutano wa 18 wa Wasomi (Academician) wa Chuo cha Uhandisi cha China, na Mkutano wa 11 wa Kitaifa wa Wajumbe wa Chama cha Sayansi na…