Victoria Magar
Kiongozi wa wengi katika bunge la kaunti la Uasin Gishu Josphat Lowoi amesema kuwa bunge hilo halina haraka ya kupitisha mswada wa BBI, huku bunge thelathini na nane zikipitisha mswada huo nchini kupisha kura ya maamuzi.
Hapo Jana, kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga alipongeza kaunti zilizo pitisha mswada wa BBI.
Hata hivyo Uasin Gishu yasalia kuwa eneo sugu la kumuunga mkono Naibu wa Rais William Ruto anaye ipinga kamili ya BBI
Kiongozi wa wengi katika bunge la kaunti la Uasin Gishu Josphat Lowoi alisema kuwa bado wanapanga kuupeleka mswada huo wa BBI kwa wananchi ili kuwapa mafunzo kuhusu mswada huo waweze kuelewa na kuweza kufanya maamuzi mwafaka Wakati ufao.
“Tutatoa nakala kadhaa za BBI ilikuwapa wananchi waweze kuichambua pamoja na hata nakala zingine zitawekwa kwenye mtandao iliwale watakosa nakala wataweza kuichambua kupitia kwenye mtandao.”
Aliongeza kwa kusema kuwa wamechagua vituo thelathini vya kujadili za umma kwani kila wadi itashughulikia wakaazi wake.
By Margarita Simonyan Editor-in-Chief of RT and Rossiya Segodnya International Media Group Margarita SimonyanEditor-in-Chief of… Read More
As Kenyans grapple with high living costs, stagnant wages in the private sector, and the… Read More
The Emirates Stadium was a cauldron of red and white noise on a rain-soaked Tuesday… Read More
President William Ruto’s state visit to Tanzania on May 4, 2026, blended significant economic progress… Read More
In the high-stakes arena of Kenyan politics, old alliances are rapidly breaking down as President… Read More
As Kenya hurtles toward the 2027 General Election, Bungoma County is bracing for one of… Read More