Umoja wa Ulaya wapanga kuimarisha udhibiti wa mipaka ili kuzuia uhamiaji haramu

Tume ya Ulaya imependekeza mpango kamili wa kuimarisha usalama katika mipaka ya nje ya EU, ikilenga kushughulikia matukio makubwa ya uhamiaji haramu. Kulingana na mpango huo, EU itachukua hatua katika maeneo matano: kuimarisha ushirikiano na nchi husika, kuimarisha udhibiti wa mipaka ya nje, kuboresha mifumo ya ufuatiliaji na tahadhari ya mapema, kupambana na mitandao ya biashara haramu ya binadamu, na kuimarisha urejeshaji wa wahamiaji haramu. Kwa mujibu wa taratibu husika za EU, mpango huo bado unahitaji kuwasilishwa kwa nchi wanachama wa EU ili upitishwe.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

LEOFM

Maisha TV
Live
Tap to listen live