Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ametoa Hotuba kuhusu Hali ya Taifa katika jengo jipya la Bunge, huko Mount Hampton, nchini Zimbabwe. Hii ilikuwa Hotuba ya kwanza ya Rais Mnangagwa tangu muhula wake wa pili ulipoongezwa kwa miaka miwili hadi mwaka 2030.
