Mkono bandia unaotumia akili bandia waonyeshwa kwenye Maonyesho ya “Mwanga wa Mtandao wa Internet” ya Mkutano wa Mtandao wa Internet wa Dunia

Mkono bandia unaotumia akili bandia umeonyeshwa kwenye Maonyesho ya “Mwanga wa Mtandao wa Internet” ya Mkutano wa Mtandao wa Internet wa Dunia yanayofanyika Wuzhen, mkoani Zhejiang, China. Mkono huo unaweza kudhibitiwa kwa kutumia teknolojia ya kiolesura kati ya ubongo na mashine (Brain-computer interface technology) na unaweza kucheza piano kwa urahisi. Hivi sasa, watu 2,046 wenye ulemavu wa viungo huko Zhejiang wamewekewa kiungo hiki bandia bila malipo, kwa kutumia nguvu ya teknolojia kuwasaidia watu wenye ulemavu kuweza tena kutumia mkono.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

LEOFM

Maisha TV
Live
Tap to listen live