
Wafanyakazi wa ghala la Shirika la Msalaba Mwekundu la Kenya wanakagua vifaa vya matibabu huko Nairobi, Kenya. Kufuatia kuongezeka kwa idadi ya wagonjwa waliothibitishwa kuambukizwa Ebola, kazi husika za kinga na udhibiti zimeimarishwa. Kwa mujibu wa wizara ya afya ya Kenya, nchi hiyo imethibitisha mgonjwa wa nane wa Ebola.