Victoria Magar
Waziri wa usalama wa ndani daktari Fred Matiang’i mapema leo alizuru kaunti ya Mombasa kukagua miradi ya serikali inayoendelea kufanywa katika kivuko cha likoni
Kivuko hicho kilizinduliwa mwishoni mwa mwaka jana baada ya msongamano iliyosababisha ajali mingi kwenye ferri miongoni mwa wasafiri kushuhudiwa.
Daktari Matiang’i amesema kuwa ameridhishwa jinsi kazi inavyoendelea na polisi watakita kambi mahali hapo kwa muda wa siku mbili ilikufwatilia jinsi kazi inaendelea na kupeana riporti kwa afisi yake .
Aliongeza kwa kuzungumzia changamoto ambazo wakaazi wanapitia
“Kuna changamoto nikifikiri ni mbili tu ya kwanza ikiwa kuwafidia wakaazi waliofurushwa kwenye ardhi hii na la pili ni swala la kuongeza wafanyikazi kwenye miradi hii iliiweze kukamilika kwa wakati”.
Alisema kuwa “mwaka huu mimi na wenzangu tutakuwa tukifanya shughuli ya ya kumaliza miradi yote ya serikali “, kisha amewahimiza wakaazi wa Mombasa kuwa atawahakikishia usalama wa kutosha kwenye kivuko hicho na viunga vyake.
Aidha baada ya shughuli hiyo alikutana na viongozi wa kiislamu na kuwakabidhi nakala ya BBI, huku akiwahimiza kuisoma na kuelewa kisha kufanya maamuzi ya busara kwani hailazimishiwi mtu.
As Kenyans grapple with high living costs, stagnant wages in the private sector, and the… Read More
The Emirates Stadium was a cauldron of red and white noise on a rain-soaked Tuesday… Read More
President William Ruto’s state visit to Tanzania on May 4, 2026, blended significant economic progress… Read More
In the high-stakes arena of Kenyan politics, old alliances are rapidly breaking down as President… Read More
As Kenya hurtles toward the 2027 General Election, Bungoma County is bracing for one of… Read More
In a maneuver as astutely orchestrated as it was unmistakably conspicuous, President William Ruto summoned… Read More