Maafisa wa UN na AU watoa wito wa kuwa na uvumbuzi unaoongozwa na sayansi ili kuimarisha kilimo cha Afrika

Maafisa wa Umoja wa Mataifa (UN) na Umoja wa Afrika (AU) wametoa wito wa kuongeza matumizi ya sayansi na uvumbuzi kwenye kilimo, ili kuongeza uzalishaji wa kilimo na upatikanaji wa chakula barani Afrika.

Wito huo ulitolewa Jumanne kwenye Kongamano la Sayansi na Uvumbuzi la Afrika lililofunguliwa huko Addis Ababa, Ethiopia, chini ya kauli mbiu “Kutumia Sayansi na Uvumbuzi kwa Mabadiliko ya Mifumo ya Chakula na Kilimo.”

     Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa Shirika la Chakula na Kilimo (FAO) ambaye pia ni mwakilishi wa kanda ya Afrika Abebe Haile-Gabriel alisema Afrika inahitaji kutumia akili bandia na uvumbuzi mwingine ili kuongeza mavuno ya mazao kwa kubadilisha data ngumu za kilimo kuwa maamuzi ya wakati halisi na yanayoweza kutekelezwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

LEOFM

Maisha TV
Live
Tap to listen live