Rais Xi Jinping wa China akutana na Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney mjini Shenzhen

Rais Xi Jinping wa China amekutana na Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney leo mjini Shenzhen, nchini China. Mji wa Shenzhen ulioko katika Mkoa wa Guangdong kusini mwa China, utakuwa mwenyeji wa Mkutano wa 33 wa Viongozi wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Asia-Pasifiki (APEC), uliopangwa kufanyika kuanzia tarehe 18 hadi 19 mwezi Novemba.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

LEOFM

Maisha TV
Live
Tap to listen live