UM waeleza wasiwasi juu ya hali mbaya ya usalama nchini Ethiopia
Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi mkubwa kufuatia hali mbaya ya usalama na maendeleo ya karibuni nchini Ethiopia, ikiwemo kuundwa kwa muungano mpya wa makundi yenye silaha na ripoti za kuendelea kwa mashambulio ya droni na ukosefu wa usalama. Akizungumza kwenye mkutano na wanahabari, Stephane Dujarric, msemaji mkuu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio…