Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania aahidi ushirikiano wa karibu zaidi na China
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Mahmoud Thabit Kombo, amepongeza urafiki na ushirikiano uliodumu kati ya Tanzania na China, akithibitisha tema ahadi ya Tanzania ya kuinua uhusiano huo katika ngazi mpya. Akizungumza katika hafla iliyoandaliwa na Ubalozi wa China nchini Tanzania iliyofanyika jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya…