Mkutano wa Dunia wa Uzalishaji Viwandani wafunguliwa
Mkutano wa siku nne wa Dunia wa Uzalishaji Viwandani wa 2026 umefunguliwa katika Kituo cha Kimataifa cha Maonyesho cha Binhu mkoani Hefei nchini China. Mkutano huu ukiwa na kaulimbiu ya “Uzalishaji wa Akili Bandia Duniani: Kuunda Maisha Bora,” unazingatia tasnia mpya kama magari ya nishati mpya yanayounganishwa na mtandao wa akili bandia, teknolojia mpya ya…