Afrika ina uwezo wa kuchakata 30% ya madini muhimu duniani
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Katibu Mtendaji wa Kamati ya Uchumi wa Afrika ya Umoja wa Mataifa (UNECA) Bw. Claver Gatete, amesema Afrika ina takriban 30% ya akiba ya madini muhimu ya mpito wa nishati duniani, ambayo mahitaji yake yanaweza kuongezeka mara tatu ifikapo mwaka wa 2030. Bw. Gatete amesema hayo kwenye…