China yazihimiza Iran na Marekani kurejea kwenye Makubaliano ya Maelewano ya Islamabad
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi Jumatano alifanya mazungumzo na mwenzake wa Iran Seyyed Abbas Araghchi mjini Beijing. Wang amesema kuendelea kwa mapambano kati ya Marekani na Iran hakuendani na maslahi ya pamoja ya pande husika na jumuiya ya kimataifa. China inazihimiza Iran na Marekani zijizuie, kurejea kwenye Makubaliano ya Maelewano ya…