Gharama za bidhaa zapanda nchini Somalia kutokana na usumbufu wa usafirishaji katika Bahari ya Sham
Bei ya bidhaa imepanda nchini Somalia na kuongeza wasiwasi wa usalama baharini kutokana na mashambulizi ya Wahouthi kuvuruga usafirishaji kupitia Mlangobahari wa Bab al-Mandab. Gharama ya gesi ya kupikia kwa chupa ya kilo 10 imepanda kutoka takriban $25 hadi $40, ambapo bei ya mafuta imeongezeka mara mbili hadi $1.50 kwa lita. Bei za chakula pia…