Magari ya chapa 20 za China yaonyeshwa katika Maonyesho ya Kimataifa ya Magari ya Paris
Maonyesho ya 91 ya Magari ya Paris yamefunguliwa rasmi tarehe 12 Oktoba. Kwa mujibu wa vyombo vingi vya habari vya Ufaransa, maonyesho ya mwaka huu yanashuhudia rekodi mpya ya idadi ya chapa 20 za magari za China ambayo imezidi idadi ya jumla ya kampuni za magari kutoka Ujerumani na Ufaransa. Tovuti ya Yahoo Finance ya…