Africa CDC yasema mlipuko wa Ebola nchini DRC huenda ni mkubwa zaidi ya takwimu rasmi
Kituo cha Kukinga na Kudhibiti Magonjwa Afrika (Africa CDC) kimesema, mlipuko wa Ebola unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya kongo (DRC) unaweza kuwa ni mkubwa mara tatu zaidi ya takwimu rasmi, huku asilimia 30 mpaka 40 tu za kesi ndizo zinazotambuliwa hivi sasa. Africa CDC imesema, kwa kuchukua sampuli za Taasisi ya Kitaifa ya Utafiti…