Kampuni za Sharpa na DQ zashirikiana kuanzisha mkahawa wa ice cream unaoendeshwa na roboti
Mkahawa wa kwanza wa ice cream unaoendeshwa na roboti ulioanzishwa kwa ushirikiano wa kampuni maarufu ya ice cream Dairy Queen na kampuni ya roboti za AI ya Sharpa, umefunguliwa rasmi Agosti 29, 2026, katika Mtaa wa Wujiang, mjini Shanghai,China. Habari zinasema, mkahawa huo ni wa kwanza unaojiendesha kikamilifu, na unaofanya kazi mwaka mzima bila mapumziko….